KWA NINI TUOMBE Niliona Bwan amekaa kwenye kiti cheupe cha ufalme. Mlolongo wa watu bele yake. Nilishangaa kwa jinsi hao watu hawakuwa na uso. Nafasi ya uso palikuwa bure. Wakati kila mtu alikuja mbele ya Bwana, Angefungua kitabu na kusoma ndani yake mambo yote ambayo huyo mtu alitenda. Kila kitu kilinakiliwa; na Bwana aliso kitabu chote kutoka mwanzo hadi mwio. Kilo mtu katika ule mlolongo alihukumiwa na kwenda jehanamu. Kilwa wakati Bwana angemwambia mtu amehukumiwa huyo mtu angeanza piga mayowe na kulia akimwomba Bwan ampe nafasi mara moja tuu. Bwana alitiririkwa na machozi mengi akitikisa kichwa chake akiwambia kila mmja wao ya kwamba alimpa nafasi nyingi ulimwenguni kutubu na kuokoka ili aje kuishi na bwana mbinguni lakini walipuuza. Hii iliendelea kwa mda. Hatimaye Bwana aliniangalia na kuniuliza "Jee mbona hufanyi kitu chochote?" Nilichanganyika. "Jee wataka nifanye nini Bwana?" Nilimjibu. "Omba" Bwana alinijibu. Kwa hivyo nikaanza kuomba bilo maanani. Baada ya mda kidogo Bwana aligeuka kwangu na kusema, " Angalia hawa watu, kweli waangalie kabisa". Nilipo fanya hivyo nyuso zao zilioneka kwangu. Wakawa watu ninao wafahamu kidogo tuu. Ni watu tunafahamiana kidogo. Nikaanza kuwaombe kwa bidii kidogo. Baada ya muda kidogo Bwana aligeuka tena kuniangalia kwa nguvu na hasira na akasema, "Angalia hawa watu mara tena". Sasa hawa watu wakawa marafiki. "Lazima uombe kwa nguvu", Bwana akaniambia. Nikaanza kuomba kwa nguvu kidogo. Lakini bado mlolongo wa watu ulikuja mbele ya Bwana, ange soma historia ya maisha yao kutoka kwa kitabu na kuwahukumu. Mara nyingina Bwana akageuka kwangu mara hii na gadhabu. Alikuwa bado analilia mioyo zinazohukumiwa. " Kwa hakika unaelewa kinacho fanyika hapa?" akaniuliza Bwana. " Tazama!!" Hatimaye, shimo lilifunguka nyuma ya mlolongo wa watu. Nilitazama kwenye shimo hilo. Kulikuwa na giza kingi sama kutoka shimoni. Nilisika vilio, mayowe, na kelele toka shimoni. "Nenda uangalie" Bwana aliniamuru. Sikutaka kwenda. Niliogopa, lakini nguvu kama mkono ulinisukuma kutoka nyuma kunisukuma hadi kwenye ukingo wa hilo shimo jeusi.Nilipofika ukingoni mwa hilo shimo jeusi, niliangalia chini ndani yake. Nilirudi nyuma kwa vitisho. Niliona chini ya hilo shimo. Lilionekana shimo ndefu sana. Mule chini mulionekana watu wengi sana wana geukageuka kwa wingi na kufinyana huko chini hadi ilionekana kama hakuna nafasi katikati yao. Mule ndani kulikuwa na mwiale za moto na moto mwekundu kutoka kwenye lile shimo nyeusi. Nilinusia chemicali ya salfa. Niliona mwile na moto. Nilihisi joto jingi sana kutoka kwe ule moto. Niliona wadudu wakipanda na kutembelea juu ya wale watu mule shimoni jeusi. Watu walikuwa wanawaka moto lakini hawachomeki na kwisha, lakini wakuwa wana chomeka na kupiga nduru kwa uchungu wa moto. Walikuwa naangalia juu kutoka mule shimo jeusi. Walibeba mikona yao iliekea juu kwa huruma. Walikuwa waki sukumana kama mawimbi ya bahari kwa pamoja. Walikuwa wakipiga nduru na makelele ya uchungu na huruma nyingi na kutaka kuokolewa. Lakini hakuna huruma wala kuokolewa wala kukombolewa. Nili songa nyuma kutoka kwa ukingo wa lile shimo kwa hofu na uoga mwingi sana. Nilimugekia Bwana alie kuwa amekaa kwenye kiti chake cha enzi. Alikuw bado a soma kutoka kwenye vitabu vya hukumu. Niliona kitita kibubwa bila kikomo cha msongamano cha vitabu karibu na kiti cha Enzi. Nakikajua ya kwamba wale wote ambao witabu vyao vimeandikwa wanaenda kuhukumiwa. Niliangalia laini ndefu bila kikomo ya watu ambao walikuwa mbele ya Bwana walingoja hukumu yao. Sasa nikaona kila uso sura yake vizuri kikamilifu. Walikuwa marafiki wangu, jamii yangu and jamaa wangu. Na walikuwa wanahukumiwa. Naliona wakitupwa kwenye lile shimo nyeusi ndefu, nilisikia wakilia na kusaga memo na kupiga nduru ya uchungu walipo anguku kwenye lile shimo nyeusi. Bwana alinigeukia kwa machozi ya kimtiririka mashavuni nakusema "sasa omba". Nikaanza kulia na kupiga nduru kwa Bwana Mungu kuhurumia hawa watu asiwahukumu kwenda motoni. Kila mtu alipohukumiwa, nilikimbia kwenye ukingo wa lile shimo kujaribu kuzuia naku jaribu kuwavuta nyuma ili wasianguke mule shimoni. Ninge washika kwanguvu mikono yao na kujaribu kuwazuia lakini wangepita mikononi mwangu bila shida na kuingio shimoni kwa kishindo. Nilikuwa na hofu na maangaiko kwa kujaribu kuoko wapendwa wangu wasianguke kwenye lile shimo la moto wa kutisha. Nilikimbia nikashika Bwana Mungu na mkono mmoja na mwingine nikijaribu kutoa wale walio hukumiwa kwenye lile shimo la moto bila kufaulu. "Acha kunishika" Bwana Mungu aliniambia. "Nikikuacha nitaingia shimoni mimi" nikalilia Mungu. "Acha kunishika" Bwana Mungu alisema tena. Nilimwachilia. Nilihisi mikono ya nguvu isioonekana ilinishika kwa nguvu. Nililala chini karibu na ukingo wa lile shimo la moto na kuelekeza mikono yangu mle ndani kuzuia wasiingie mule shimoni. Nilisikia na kuhisi na chomeka na mwiale and moto kutoka mule shimoni. Wakati mwingine nilihisi makucha makali yakinichuna kwa nguvu kutoka mule shimoni. Niliona mikono yangu ikichomeka na pia alama na mikwaruzo ya makucha. Nilikuwa nalia kwa hofu nikimwita Bwana Mungu kuokoa hawa watu wangu amboa nawapenda. Nilikuwa naomba Bwana Mungu kuhurumia hawa watu ya kwamba asiwahukumu waende mle shimo la moto. " Ni rahisi kuombe watu waliopotea wakiwa ni wa penzi wako" Bwana Mungu aliniambia. "Kumbuka waliopotea hawa wote ni wapenzi wangu, nataka watoto wangu wote wawaombee hawa waliopotea vile unawaombea sasa hivi. Nitainua uzazi wa waombezi kusimama kwenye pengo kwa wanangu wapotevu. Hawa waombezi watahisi moto wa kuchomeka na vita watakapo chomeka. Nguvu za kuzimu zitawapinga na kuwadhulumu nakupigana nao. Walakini nitakuwa nao nakuwashikilia. Sasa omba" --Hollie L. Moody |